Tungo ni nini?
Tungo ni maneno
yaliyopangwa pamoja na yenye kuleta maana. Au, Tungo ni neno au maneno yanayotoa taarifa fulani ambayo
inaweza kuwa kamili au isiwe kamili.
Mfano;
·
Mtoto mweupe ameanguka (Taarifa kamili).
·
Mbuzi aliyeibiwa jana … (Taarifa isiyo kamili).
Neno “tungo” ni nomino
ambayo inatokana na kitenzi “tunga” ambacho kinamaana ya kushikanisha vitu kwa
kupitia kitu.
No comments:
Post a Comment