Tungo
neno:
Tungo neno ni aina ya
tungo ambayo huundwa kwa vipashio vidogo zaidi ya neno ambayo ni mofimu au
fonimu. Au, Tungo neno ni silabi moja au zaidi zenye kuota maana inayoeleweka.
Ili kupata kupata tungo neno katika lugha ya Kiswahili hatuna budi kufuata taratibu
mbili muhimu;
a)
Mpangilio wa vitamkwa
b)
Mpangilio wa mofimu
Mfano wa tungo neno ni
Baba, kaka, mwalimu, gari n.k.
No comments:
Post a Comment